Tuesday, October 21, 2008

HII NI TRELA TU, SKILIZIA PICHA KAMILI,,,,,,


Kama ni ngoma imepata wachezaji, ama miti kwa wajenzi, na kama ilivyo upele kwa mkunaji, wakati mwingine mwafaka wa kupata habari, matukio na kila lihusulo filamu za kibongo, huu ndo uga maalumu kwa ajili yetu wadau wa filamu, haya jamvi ndo hilooo kazi kwenu.

7 comments:

  1. Hongera wajina tupo pamoja nakutakia mafanikio mema na maandalizi mema ya harusi.

    ReplyDelete
  2. Hujapendeza wala nini!kama umekula bangi vile

    ReplyDelete
  3. mmmmmmmmmmmhhhhhhhhhhhhhhhhh!!!!!!!!!!!!!!
    we noma
    ni mzuri lakini ni mbaya
    picha yako si mzuri ungeang alia ustarabu wa picha nyingine
    sawa ??

    ReplyDelete
  4. i love ur show......Big up Joyce

    ReplyDelete
  5. i love u n i rily love ur show Joyce...Mwaaa

    ReplyDelete
  6. baby,u ar rily hot.so incredibly beautiful.love ur show..........keep t up wng.................mwaaaaaaaaah

    ReplyDelete