Wednesday, October 22, 2008

PICHA NZURI SHURTI KWA POZI ATI!


Ni mpiga picha mahiri wa filamu za kibongo RASHID MRUTU ambaye anashikilia tuzo ya mpiga picha bora wa mwaka 2008 hapa akiwa kazini akipiga piccha za kipindi cha bongo movies kinachoruka CHANEL TEN kila alhamisi saa tatu usiku. nyuma yake ni mwigizaji wa filamu za kibongo.

1 comment:

  1. Nawakubari wapiga picha wetu wakibongo but vifaa vina waangusha

    ReplyDelete