Monday, October 27, 2008

MUSA BANZI

mmoja wa waandishi na wazalishaji wa filamu za bongo MUSA BANZI akitafakari jambo kwa umakini mkubwa, filamu yake iliyoko sokoni kwa sasa inakwenda kwa jina la VERONICA itafute uone nyota wapya wanavyocheza na camera halafu tuoneeee,,,,,,,,,,

13 comments:

  1. Dada huyo kaka ni mkali la zima aumize kichwa juu ya kazi zake.

    ReplyDelete
  2. Musa Banzi, mimi ni filmmaker and Producer kutoka Kigali-Rwanda, ningependa tuwasiliane katika kazi hii. number yangu ni +250788469617, naitwa Kwa jina la Theo. nilifurahia filamu yako "the game of love" kwa sasa nasisi tunatengeneza filamu "Tears of Love" tungependa kusaidizana kwa filamu ifatao, kwa wa actors pia na ujuzi wa kufanya filamu safi.

    ReplyDelete
  3. Hongera musa mimi ni mmoja wa watu wanaokukubali.Hongera ongeza juhudi.

    ReplyDelete
  4. kaka mie nina kukubali ile mbaya kazi zako zote ubongo wako ulifikili kwa umakini.big up sana

    ReplyDelete
  5. kaka mie ninakukubali ile mbaya kazi zko zote ubongo wako ulifikili kwa umakini.big up broo............. my email begashejoel@yahoo.com

    ReplyDelete
  6. sasa kaka mbone hatuoni tena filamu mpya kutoka kwako ,umenda wapi? na wale wachezaji wako,tulikuwa tunafurahiya ndani ya game of love wameenda wapi?

    ReplyDelete
  7. kaka wewe ni mkali, hakika nikijua filamu imetungwa na Mussa Banzi huwa natamani sana kuiangalia,,,Big up bro

    ReplyDelete
  8. kaka wewe ni mkali, hakika nikijua filamu imetungwa na Mussa Banzi huwa natamani sana kuiangalia,,,Big up bro

    ReplyDelete
  9. hi brother Banzi ..i real like your work and in short your my tz life inspiration,,am a gentleman of 23 yrs and real wish to be an actor coc i can do it and i wish i to do that daily..rit now am in mzumbe university ...0717 936331...plz bro..

    ReplyDelete
  10. i really love ur movies,but i wonder nowadays hatuzion kaz mpya vp kaka?,tunahitaji san kaz zako bro

    ReplyDelete
  11. Hey musa naitwa zubeda ali kutoka kenya nimeona mahojiano yako katika ulimwengu wa filamu leo umenitia motisha wa kukutafuta kama mugizaji.ningependa unipe nafasi hiyo naweza kuigiza kwa lugha tofauti bila tatizo ningependa tuwasiliane zaidi kwa nambari+254713174567

    ReplyDelete
  12. Movie za Banzi zimekaa kiuongo kupitiliza. Karibia zote!! Havifanani na uhalisia. Mfano ni movie ya Chonde chonde, umepitiliza hadi umeboa.

    ReplyDelete