Friday, December 5, 2008

HONGERA JOYCE


mkurugenzi wa local movies entertainment JOYCE KIRIA ambaye pia ni mtangazaji wa clouds fm leo anaanza safari ya kuelekea ndoa kwa kufanyiwa sherehe ya kitchen party pale maeneo ya mikocheni ROSTERS PUB. hongera shangazi joy. kwa picha zaidi za matukio ya shughuli hiyo stay tuned,,,,,,,,,,,,,,,,,,

24 comments:

  1. due macho kama unalala nayo

    ReplyDelete
  2. very beautiful in deed. unatumia nn usoni seriously?

    ReplyDelete
  3. JOYCE KIRIA, habari yako, mambo vipi? mimi natamani kuonana na kuzungumza na wewe faragha, tafadhali nifahamishe ni jinsi gani naweza kukupata kirahisi tukaongea, tunaweza kufanya biashara pamoja. Nipe email yako na namba yako ya simu. wasiliana na mimi kwa email hii: kshumbusho@yahoo.com

    ReplyDelete
  4. HI SISTER JOYCE KIRIA MIMI NAPENDA SANA SHOW YAKO LAKINI MNATUSAHAU SISI VIJANA WENYE VIPAJI KUTUTANGAZA MIMI NINA UMRI WA MIAKA 19 NAOMBA TUKUTANE HAPO EATV TUWEZE KUONGEA ROHO ZINAUMA TUNAPOONA VIPAJI VYETU VINAFIFIA TUWASILIANE THROUGH sunriser45@breakthru.com AU 0716757035 THANKS

    ReplyDelete
  5. hii joyce,
    show yako ni poa ila last sunday show trh 22/8 haikuwa nzuri sana maana inaelekea umezua bifu kati ya hao mastar wa muvi za bongo hasa pale wanawake walipoambiwa kuwa hakuna wanawake wenye mvuto na msanii mwenzao wa kiume. ilionekana kama wamekasirika sana
    nakushauri unapohojiana na watu mbalimbali wa status moja usiwe kama mchochezi ugonvi ktk kuwahoji bali uwe mleta mapatano na kama mahojiano mengine unaona yatazua ugomvi basi yaepuke kama maadili ya media yanavyosema.maana mashostito wenzako wanaonekana walikuwa na jazba sana kama tea, monalisa na johari.
    nakupongeza kwa kazi nzuri sana.
    thankx

    ReplyDelete
  6. Picha za kitchen party yako ziko wapi nakaribia na mimi nilitaka kuona pozi lako japo niliige

    ReplyDelete
  7. unajitahidi kidogo ila kipindi kimeanza kuboa

    ReplyDelete
  8. Apart from being extremely gorgeous...i really congratulate you for your great work on TV. You really know how to narrate and breakdown the movies. yaani wewe ni hazia. hongera saa na Ukaze buti dada!

    ReplyDelete
  9. yani dada joyce wakisema masupastaa wa kike wenye mvuto basi wewe unaongoza yani hta hyo Irene wanaesema mzuri me sioni kama anaingia kwako hata chembe

    ReplyDelete
  10. hiyo ndoa ikowapi sasa,maneno mengiiiiiii,huna lolote mimi sijapenda the way ulivyoshoboka na brother men yule halafu matokeo yake ndoa yako imeota mbawa looh!sasa kama ulikuwa unajijua bado hujamaliza ujana wako ya nini ulikimbilia kuolewa?ilifikiri ndoa lele mama eeh!habari ndio hio sijui utatumia njia gani kumuelewesha mumeo ili akusamehe ila habari ndio hiyo huna jipya tuna kuenjoy tu na sera zako zisizo na kichwa wala miguu.

    ReplyDelete
  11. Hi Joyce, 4 sure ur real beautiful, anyway hongera sana kwa mafanikio yako ma endelea kwa juhudi hiyo hiyo utafanikiwa zaidi. Ningepata nafac ya kuwa rafik yako wa karibu ningefurah zaid. If is k with u contact me through hassan.temba@yahoo.com

    ReplyDelete
  12. KWANIO KUA CHIKA KIYU GANI AR U SURE JOYCE NDIO SABABU YA NDOA YAKE KUVUNJIKA WEWE ANONYMOUS WA MAY 7 5:29 ACHA MAMBO YA KISHAMBA WA WAP WEWE?AU UMETUMWA,KALAGHABAO., CHEZEA JOYCE EH ITAKULA TU KWAKO

    ReplyDelete
  13. SIO SIRI UMEPENDEZA SANA NAPENJA SANA SHOO N THE WAY UNAVO JIAMINI KUULIZA SWALI LOLOTE YOUR REAL ROCKIN'

    ReplyDelete
  14. habari yako dada joyce kria mbonsafo bana mi n mwanadada na vutiwa na jinsi unavyokidrive wanawake live ata uku moshi anzisha ofisi bwana uniajiri au tunachukua mahojiano na kutumia mmetusahau wa nyumbani jaman utukumbuo see i like kichaga my contc 0783303005

    ReplyDelete
  15. Hi... sister Joy,nakupongeza sana the way unavyo kiendesha kipindi cha wanawake Live,haswa unavyo waalika Wanawake wa rika mbalix2.lakini dada Joy cha ajabu na cha kusikitisha ni kwamba Wageni wako pale studio wanakua wamevaa vizuri(wamestiri maumbo yao)lkn kwa bahati mbaya,show yako ya jana, nguo ulioivaa nusu ya matiti yako(maziwa)yalikua wazi sana.Hebu mwangalie Mama Asha Baraka alivyo vaa pale studio,wewe ni kioo cha jamii na hiki kipindi kinaangaliwa na jinsia zote si wanawake 2.sorry kama nimekukwaza

    ReplyDelete
  16. ur not bad,though urnt gud enough

    ReplyDelete
  17. Wewe Joyce ndoa ni kutombana tu aaaeee? We mwenyewe ulikuwa beki tatu badala kutulia unaanza nyodo coz unmepata jina naihi hiyo rangi ulijichubua maana mara nyingi mabek tela huwa kama makambare sasa wewe hiyo ngoz wapi umepata? Mfuate mumeo mmalizane huna hela gani zaidi ya hicho kiharrier chako cha miaka ya 96-97

    ReplyDelete
    Replies
    1. kauli ni kitu muhim sana ktk maisha

      Delete
  18. jamani wabongo mbona hivyo kuolewa ni maelewano kama maelewano yalishindikana asingeweza kulazimisha mtoto wa watu.

    msamehe tu.

    ReplyDelete
  19. Dada Joyce, mti wenye matunda ndiyo unapigwa mawe siku zote, waache wachonge sana juu yako kaza buti "Watajijua na nafsi zao za paka kutumiwa na wachawi"
    Diana Iringa,

    ReplyDelete
  20. Sasa Joyce Nasikia umeachika mbona una mimba?

    ReplyDelete
  21. Wasamehe hawajui watendalo Joyce

    ReplyDelete