star wa filamu wa kifilipino ambaye ameingarisha filamu ya from china with love akitumia jina la aileen, fanya mpango uipige jicho halafu rejea hapa umwage maoni.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
maisha ni mkusanyiko wa raha karaha na kila aina ya mbwembwe, yote hayo yamekusanywa pamoja na kuletwa katika filamu za kibongo, zipate hapa katika bongo movies
huyo dada nimemfagilia anavyoigiza lakini ray bado.apunguze kupiga makelele kwenye ukali anapiga kelele kwenye upole pia kelele ajirekebishe kwa staili aliyokuwa nayo.
ReplyDeleteMbona umepotea bloguni dada yetu?
ReplyDeleteHabari Joyce! pls email me nina shida ya kujua uliponunua shela ya harusi ila sijui nitakupata wapi...kemmyrevy@yahoo.com if u dont mind pls mamy thanks!!!!!
ReplyDeleteNaitwa LISUNGU KAMBONA nafikiri staring alikuwa ni yule pastor aliyekuwa akisari mara ya mwisho kwa sababu naona yeye ndiyeprotagonist kama sikosei maana nimesoma mabo ya filamu kipindi nipo chuo yule pastor ndiye HERO kwasababu yule ndiye aliye fufua maovu nafikiri bado kuna matatizo kwa katika uandaaji wa filamu kwanini itengenzwe halafu watu washindwe kutambua na staring wa Fake Pastor Hata ray niliwahi kumtumia Element of Filming akunujibu kwani hata mavazi yanayotumika kwenye Filamu Rangi TAA rangi za nguo unajua filamu inawigo mpana dada jaribu kutafuta filamu ya Freedom Writers halafu uanaglie ninachokimaanisha
ReplyDeletemimi LISUNGU KAMBONA
WA http://kambona.blogspot.com/
Filam ya maana ya sasa hivi ni"BAHARI YA DHAMBI" Je Mmeiona jamani?
ReplyDeleteyaani hii filamu ya from china with love sio siri c'elewi walikuwa wanafanya nini ila hyu dada wa kifilipino ameigiza vizuri na nimependa ila hawa wenzetu mmh balaa tupu
ReplyDeleteacha hizo we upend culture yako eehh
ReplyDeletewameiga from paris with love
ReplyDeletewabongo mnapenda kuiga sana siku mkifunguliwa mashtaka sidhan ka mtaweza kulipia
samahani dada eti unaweza ukaniamba wale waliogiza kwenye paradise, cikumbuki lkn alikuwa nico, aimar nilikuwa naomba website yaho
ReplyDeletewasanii wa bongo mnajua kuiga na kwa sana mie nawafagilia kwa jinsi mnavyozipamba filamu zenu kwa lugha iliyobobea na style ya kueleweka,zaidi na zaidi nawapa pongezi
ReplyDelete