Wednesday, December 10, 2008

AMA KWELI BONGO TAMBARARE!


siku hizi warembo kibao wanaingia katika tasnia ya filamu kama ilivyo mamtoni, kfupi bongo ni kama new york, au niseme bongo kama hollywood, tehe, tehe, tehe. mtoto wa kike(pichani) si mwingine zaidi ya NARGIS MOHAMED toka jukwaa la urembo mpaka kwenye kamera za filamu za kibongo. ama kweli bongo tambarare

9 comments:

  1. Kitu wanachoouzi hawa masupa staa wa bongo ni kwamba wakiekti wanaonekana kuwa wanaekti, ni wachache wenye vipaji vya kuekti na kuonekana ni kitu cha halisi sio picha bado wanauwoga. namzimikia sana KANUMBA "STEVEN" yule anafaa kuwa super staa hata wa NIGERIA.

    ReplyDelete
  2. Minao wanafanya mauzo ya sura sikufanya kazi ya maana katika movies industry

    ReplyDelete
  3. tatizo la mastaa we2 hasa dada ze2 wanajiraicsha sana yan kama co mastaa

    ReplyDelete
  4. wanaekt hollywood wamesoma na wanadegree zao za usanii tofauti na sisi hawajasoma na ndio mana akiongea unajua kama amekaririshwa maneni na kama ray ndo kabsaaaaaaaaaaaaaaa

    ReplyDelete
  5. Kinacho sikitisha wengi hawajui kuakt, hao film staar kabisa bongo . Mimi nafanya kazi sehemu ya film hapa nchi hii kwanza tunaangalia kabla i jatoka na hamna mtu anayejua , tunachagua ipi nzuri na ni hit soap opra, efter then tuna andika kama tunaona kuna kitu wamesahau au sauti ya film , and many things.. nikiwa shauri wakitembea wild mnafilm wasibuluze migu na they way they artiking ni mbaya. the best charles kwenye valintainmovie i saw 2y ago ni best , i like it..

    ReplyDelete
  6. hayo kwel wasanii wa bongo wap juu kwl

    ReplyDelete
  7. Wa bongo mko juu kweli ..nazipenda kweli movie za bongo

    ReplyDelete
  8. tatizo wanaleta urembo ktk sanaa tna wanaaribu msemo umsemao kwmba msanii ni kioo cha jamii.naomba iundwe tume ya kuchunguza wasanii b4 hawajaingia ktk usanii kwn wengi wanakimbilia huko coz hawana ajira na kutaka kujipatia umaarufu kwa kufanya uchafu ili wajulikane na kuuza majina.kila m2 fanani hadhira itatoka wapi.usanii ni kipaji na kujifunza.

    ReplyDelete
  9. Jaman usanii n kpaj yan kuna wa2 wanalala wakiamka wanajiita wasanii nawakat hawana lolote.yan full kukariri na wewe ray na haya maneno "halaaa pumbavu" cjui umerithishwa coz kila muvi ukikacrika unataja kwan huwez find style nyingne coz hyo 2shaichoka.Big up kwa JB,IRENE UWOYA u guyz u rock

    ReplyDelete