Monday, December 22, 2008

FROM CHINA WITH LOVE

tayari mzigo uko sokoni, na hivi ndivyo ionekanavyo kwa nje, walioitupia jicho wanasema ni viwango tu humo ndani.

7 comments:

  1. ki ukweli hiyo filamu ya from china finishing yake sio nzuri kiufupi haijakaa sawa.

    ReplyDelete
  2. MI sikuependa kwa sehemu ya mwishoni imeanza vizuri halafu imeisha kistail bila kutoa muafaka walituzengua, ingetakiwa iendelee angalu party nyingine

    ReplyDelete
  3. Sijapenda kabisa mkanda huu. Kulikua hakuna maana ya kuweka matoleo mawili.Kimtazamo wangu ilibidi pale Ray alipokuwa unamsimulia yule bibi ndio hasa mkanda ulitakiwa kuanza. Hakuna jipya, ushauri; mjipange jamani, msikurupuke kuongeza idada ya matoleo wakati quality inakua mbovu.Bora uwe na chache na zote kali.

    ReplyDelete
  4. yaani me ndo sielewi kabisaaaaaaaaaaaaa hii filamu

    ReplyDelete
  5. kweli mwana dada anaweza, so inabidi waigizaji wetu wa Bongo waige kitu wenzetu wanafanya na sio kuuza nyago tu na kutuvalia vinguo vifupi

    ReplyDelete
  6. Replies
    1. very nice mwanadada anafanya vizuri sana.....................

      Delete