Wednesday, December 10, 2008

ETI NI KWELI IRENE NDIYE MALKIA

baada ya mtoto wa kike kujichanganya katika anga la filamu za bongo, yasemekana yeye ndiye malkia wa ukweli wa movie za kibongo, na kwa sasa hata wakongwe wanaumwa vichwa juu yake, ila ati tatizo lake ni,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,, ni saidieni wadau ni kweli au maneno ya town tu.


57 comments:

  1. Aahahahah wapi,Joyce Malkia kwangu mimi ni Monalisa a.k.a Yvyonne Cherly,hawa wa kufoji sana.Mdau Yusuph

    ReplyDelete
  2. tatizo lake anazimia sana masupa staa, habari ndo hiyo

    ReplyDelete
  3. tatizo lake anapenda sana ngono. picha zake zinakuwa za mapenzi mazito sana hasa ile ya Opra

    ReplyDelete
  4. mmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmh we dada!!ana nini huyo?labda anaweza akawa ni malikia kwa uzuri.kwa bongo hii malikia wa ugizaji ni Rose only yule aiyeigiza swahiba na mahabuba

    ReplyDelete
  5. DU!!!! 4 really sina uhakika ila anaonekana hajatulia ingawa tabia ya mtu haijulikani kwa nje tu au mavazi ila ili uweze kuiba lazima uwe na asili au chembe ya uwizi pia naweza diriki kusema dada huyo kama siyo basi alishakuwa mzoefu wa mambo yetu yale!!
    By Shamsi-from A city

    ReplyDelete
  6. mhhh mie namuona monalisa yuko smart sana katika moves huyu kicheche sasanaaaa

    ReplyDelete
  7. Irene dia.. wukoooooooooooo juu zaidi ya mafuta house..unawakamata kwa kweli ktk suala la uigizaji..ila kitabia jaribu kidogo kubadilika.

    Endeleza makamuzi

    ReplyDelete
  8. jamaaniiieeeh! ndio kuekti kwenyewe kama siyo hivyo vigezo angeleta aptaiza kwenye movie? yuko fit kwa kuekti bwana, kile ni kipaji alichonacho abadilike nini?

    ReplyDelete
  9. tatizo ganii,tabia gani,mbn mnaficha,au hamjui,au ni wivu

    ReplyDelete
  10. Duh..watu kwa kununua ugomvi, haya pili pili ala mwingine nyie yayawashiani???????

    tabia ya huyo Uwoya yaeleweka, its her life kama ataamua kubadili au la...sasa mnaotaka kujua tabia yake muulizeni mwenyewe si mwamjua sana..

    ReplyDelete
  11. Special 4u Anony Aug5 & Sep22 HIYO TABIA INAYOZUNGUMZIWA CHECK COMMENTS ZA ZOTE ZA JUU .. acheni bifu za kishamba..wivu aonewe yeye ambaye hata kumjua wengine hatumjui wala kumfahamu zaidi ya kumuona kwenye movie zao na magazeti..na hata tungemjua hatotusaidia kitu.. grow up acheni ushambengaKAMA MNAMJUA AU SHOSTI WENU NI KIMPANGO WENU..SUB: ETI IRENE NI MALKIA? sasa kila mtu ana mtizamo wake kama na yeyote anaweza kuchangia anavyoona yeye. so kama upeo wenu ndo umefikia kikomo na kuona anaonewa wivu ni SAWA. ila je kuhusu magazeti? kuonewa aonewe yeye tu?? LISEMWALO LIPO KAMA HALIPO LAJA.

    ReplyDelete
  12. irene yupo juu'bt yvone mkali wake,mi vazi zake tu hoi pozi sasa!we acha tu lazima ujisachi!

    ReplyDelete
  13. irene ni mzuri sawa!lakini kwa uigizaji bora yvone cherry ni noma yaani ni mkali ile mbaya i love all of dem.i'm jennyfer from Tabora.

    ReplyDelete
  14. Bi mwenda yuko juu kwa uchawi lakini kwa urembo WEMA ANAVUTA BWANA!!! na NARGIS MOHAMMED

    ReplyDelete
  15. Irene yuko juu sana2 mnaochonga kazi kwenu hampendi maendeleo ya wenzenu,achenu chuki binafsi hazifai jamani eboooo...........

    ReplyDelete
  16. Irene ni waukweli hata kama washkaji wanamponda.Dada unajua. Wewe ni fundi. Filamu yoyote ambayo umeshiriki ni gumzo mtaani. Kama vp nipigie kwenye nambaq yangu 0717357876 nikumwagie masifa yako mengi zaidi. UKO JUUUU.

    ReplyDelete
  17. shedrack daza from kambangwa sec fm 1December 18, 2009 at 7:42 AM

    Tatizo la huyo irene anapendasana kugongwa.punguza umalaya;lakini mmmmmmmm wenimcalisana my self i love u mwaaaaaaa

    ReplyDelete
  18. ki ukweli Irene ni waukweli kwa anaemdis ana matatizo yake nje kabisa na industry ya filam wabongo 2jue kumpa m2 sifa zake inapobidi jamani kwanin yuko juu ka povu la bia Enock Mwalusanya From TTC

    ReplyDelete
  19. kwa mtazamo wangu m naona irene yupo juu zaidi ya mawingu. kuhusu ukicheche ni kawaida ila wema sepetu ndio anatisha

    ReplyDelete
  20. haya mimi naona yuko juu zaidi ya benki

    ReplyDelete
  21. kwa jinsi ninavyo muuona ni kwavile juko kazini pamoja na umbo lake linavyo vutia kila mtu acheni wivu usiokuwa na maana

    ReplyDelete
  22. irene yuko juu kwa kila ki2,kuigiza+uzuri!unatisha mama i real love u natamani sn one day nimeet nawe fase 2 fase,urs oddy shy

    ReplyDelete
  23. still bado hajafika

    ReplyDelete
  24. yupo juuuu,mie ,mwanamke mwenzio nakupa bg up,ucbabaike na coments c unajua kila m2 na mtazamo wakee?kazi waiweza mama,your young sisy,jane

    ReplyDelete
  25. i'm from Rwanda, i think you still have a long way to go, u need to become a worldwhide super start. kuwa hufanya ngono hio hatujali ila ningependa ufanye one day uje tene Rwanda. tuna official lauch ya filamu yetu at the end of May.
    pia ningependa niwaalike wa actors na actresses wa ki TZ waje rwanda tu featuring in our movies.
    contact me on "bithe2003@yahoo.fr" we'll talk

    ReplyDelete
  26. yaani hyu mdada ndo kabisaa kwanza simpendi, hv hyu naye ana uzuri gani hvi nyie mnawajua wazuri kweli au makengeza, huo mvuto wake siuoni kwanza anaoneka ni muhuni hata kwa kumuangalia tu hajatulia kabisa

    ReplyDelete
    Replies
    1. mmmh kaka acha wivu mpe zke sifa kwa uzuri ni mzur tu sidhan kama yule demu wko wa mikoroshini anaweza kujifananisha nae

      Delete
  27. aaaaaaaaaaaache kuvaa nguo za kimalaya unashindwa kuangalia movie hata na watoto hizo zote ni sababu ya umalaya akivaa nguo za heshima kidogo atavutia wengi na pia kama ana tabia za kimala aaaaaaaaaaaaaache couse tayari ana mume

    ReplyDelete
  28. hapana n\mnaomponda irene inaonekana kbs hapo hamna kitu mbna mnafujo sANA NYIE. ME IRENI NAMFAGILAI A BARAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA, SHE IS A QUUUUUUUUUUUUUUUUUUUEEEEEEEEEEEEN U KNW I LOVE U GIRL ENJOY

    ReplyDelete
  29. dah kwakweli ange2lia angekuwa malikia likni ameshapoteza mbaya coz hana thamani katika jamii hasa ya kitanzania kuga mambo ya ulaya co mpango

    ReplyDelete
  30. I have read through comments and fortunately have seen some of her movies. To me this girl seems bitchy. mavazi yake ni ya ovyo sana na mara nyingi hayaendani na mazingira (scene), na hili ni tatizo kubwa sana ktk movies za bongo. But she' s too much. kujishaua kwingi, it doesn't make sense at all. kwa upande wangu sioni lolote kwa huyo dada, kama malkia angetajwa Rose ( Swahiba) hapo ningekubali, coz dat garl's doin' well.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Huo mtazamo wako babu wa loliondo kama unamuona Rose ndo malikia wako kampost kwenye Blog yako sio kushadadia za wenzio,,,IRENE upo juu

      Delete
  31. Mbona huyu anaonekana kabisa hana maadili ya kitanzania, acheni kuiga mambo ya watu. Watanzania ni watu wa heshima bwana. huyo anaonekana kabisa kama MALAYA tu. Tunashindwa kuangalia filamu zake yukiwa family
    Irene

    ReplyDelete
    Replies
    1. Acha kujishaua wewe eti tunashindwa kuangalia film zake wakati unatombwa hata kwenye mahindi yako huyaoni ya wenzio umetolea mijicho msonyoooooooooooo

      Delete
  32. Aaaaaache kabisa kuvaa ngu za madada poa au na yeye ndie anajiuza cos biashara itembezwayo ndiyo itakayo

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hayo hayakuhusu bishost na kama mwanaume utakuwa shoga!

      Delete
  33. achen kumpendea mtu anvyoigiza so kama alivy kiukweli huyu dada ni wa ukewli

    ReplyDelete
  34. dada iren ni mzuri sema kweli lakini ebu jaribu kufata utalatibu kwenye uigizaji ofisini vaa nguo za ofisini na kwenye malavidavi vaa nguo zinazostahili unajishushia hazi dada hayo siyo maadili ya kitanzania.

    ReplyDelete
  35. anapenda sana kukaa uchi

    ReplyDelete
  36. ...jamani hivi huyu dada ni M-Tanzania halisi?anao wazazi kweli.Its too much....we like the way anavyoekti lakini Aaaaaaaaah mengine tena karaha

    ReplyDelete
  37. jamani msijishaue, wengi wenu mnapenda movie zake.kama kweli hampendi mavazi yake basi onesheni mfano kwa kuaacha kununua move zake.

    ReplyDelete
  38. IRENE YUKO SAFI YAANI FULL MZUKA

    ReplyDelete
  39. HUYU NI MALKIA WA VCHUP NA SI MALKIA WA KUIGIZA. MALKIA WA KUIGIZA NI RIYAMA BINTI ALLI

    ReplyDelete
  40. mmmmmmmmmmmmmmmmmmmhhhhhhhhhh............

    ReplyDelete
  41. MMMMM MALKIA WA NN? LABDA MALKIA WA KUONYESHA MAPAJA YAKE ZAIDI YA HAPO NOTHING COUSE KUNA WA UKWELI MORE THAN YEYE

    ReplyDelete
  42. mshamba tu huyu analolote mtu monalisa bwana

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mona kasahzeeka wewe acha ushamba,,,kitu IRENE babuuuuuuu

      Delete
  43. da tutaongea mengi lakini ukweli haupingiki kwamba irene yuko bomba, na anajua anachokifanya coz parts nyingi anazoigiza kwenye movie anamudu sana kuhusu tabia tusi nyoosheane kidole cozi hakuna alie mwema. chamsingi ni kutoa support kwa wasanii wetu wa bongo, ki ukweli iren uwoya kaiopaisha sana bongo kwa movie,

    ReplyDelete
  44. ndio maana wabongo hatuendelei, mtu akifanya vizuri hakosi skendo, irene baby no matter what kaza buti we ni moja ya artist wazuri na maarufu sana bongo thats why leo tuna kuzungumzia changamoto zipo, sio wote wana penda uendelee ila tupo tunao kupenda so kaza buti tu mtu wangu, one love, no body is perfect,

    ReplyDelete
    Replies
    1. Big up Ayub nimekupenda sana na jinsi usivyo na roho ya kwanini kama others waliocomment kumponda,,utakuta wengine sura zao kama cha kunyea ila leo hii wanamponda malkia IRENE

      Delete
  45. mmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmm

    ReplyDelete
  46. kiukweli iren mzuri na anafanya vzr moves zk wanaomponda wanawivu

    ReplyDelete
  47. UZINZIIIIIIIII MWINGIIIIIIIIII

    ReplyDelete
  48. irene unatisha wajina,wanokuponda achana nao kimpango wao fanya kazihayo maneno yao hata kwenye kanga yapo na kila mtu anakitabia chake ambayo ni kasoro yake Mungu kampa,,unatishaaaaaaaaaaaaaa

    ReplyDelete
  49. cjui malkia c kuvaa nusu uchi bali anajistiri..cjui kma ni malkia labda kwa uzuri na kujiamini akiwa jukwaani...lakini vingine cna uhakika

    ReplyDelete
  50. N malkia kwel bt dada irene jtahd hata kuvaaga nguo coz 2shachoka kuona mapaja yako,ckatai una mapaja mazur bt haya2husu,muonyeshe ndikumana

    ReplyDelete
  51. Asilimia mia moja malkia wa ukweli anakuwa anavaa usika wa mchezo yupo makini sana!! sa azidi kuwa mtafiti zaidi hili hawe mkali kama sample za marekani hapo namaanisha atafute shule ya tasinia aliopo

    ReplyDelete